Field visit and supportive supervion of the Kilimo Endelevu Project interventions at Olchorovos village, Arumeru district, Arusha Tanzania

Field visit and supportive supervion of the Kilimo Endelevu Project interventions at Olchorovos village, Arumeru district, Arusha Tanzania. The Kilimo Endelevu Project is implemented by IDP, RECODA and MVIWAARUSHA.
Kutembelea na kutoa ushauri wa kitaalam katika shughuli za mradi wa Kilimo Endelevu katika kijiji cha Olchorovos, wilaya ya Arumeru, mkoa wa Arusha Tanzania. Mradi wa Kilimo Endelevu unatekelezwa na IDP, RECODA na MVIWAARUSHA.